

Hii ni app bora sana ambayo itakuwezesha kuangalia mpira live, tamthiliya,muziki,comedy na taarifa ya habari ukiwa popote ulimwenguni,ambapo utaangalia mechi kutoka ligi mbalimbali kama
⚽Ligi kuu Tanzania bara(NBC PREMIER LEAGUE)
⚽Epl
⚽ Laliga
⚽ Bundesliga
⚽Serie A
⚽ League 1
⚽Saudi pro league
🔴Ambapo kwenye app hii ukiwa unaangalia mechi au tamthiliya unakuwa na uwezo wa kuchagua ubora wa video.
No comments yet. Be the first to comment!