User Dashboard
Upload Icon
Register Icon
Login Icon
Close Icon
App Icon
Niuzie Chap
246+ downloads
Download APK Comment
Screenshot 1Screenshot 2Screenshot 3

Niuzie Chap inakukutanisha na wateja wa bidhaa zako kutoka sehemu mbalimbali.. Mfanyabiashara anapoleta bidhaa yake/zake kwetu kwa ajili ya kuziweka hapa,sisi tutamsaidia kuzisambaza kwenye mitandao yetu ya kijamii..
Mteja atakayependa bidhaa,ataweka Oda kwa kujaza maelezo yaliyopo kwenye fomu baada ya kubonyeza "Weka Oda" kisha sisi tutapokea Oda yake na tutamuunganisha na muuzaji kwa ajili ya kupatiwa bidhaa yake..

Tumeweka njia moja tu ya kuthibitisha Oda inayompa mteja uhakika wa kulipia baada ya kupokea mzigo wake kwa wateja walioko ndani ya Dar Es Salaam. Lakini pia haimzuii mteja kutumiwa nje ya Dar Es Salaam au kufika dukani kutegemeana na makubaliano yao kati ya muuzaji na mnunuzi.

Comments

No comments yet. Be the first to comment!